Breaking News
Loading...

Monday, 6 February 2017

Maneno ya wema akiwa Polisi

Habari kuu jijini Dar es salaam ni juu ya sakata linaloendelea la kupambana na madawa ya Kulevya, kueleke kupambana na
madawa hayo mkuu wa mkoa wa Dar es salaama Mh. Paul Makonda amewatia mbaloni baadhi ya mastaa ambao wanashutumiwa kujiusisha na utumiaji au uuzaji wa madawa hayo.

Mastaa ambao wametiwa mbaloni ni pamoja na miss tanzania 2006 Wema Sepetu, wengine ni T.I.D, Nyandu Tozi na wengine kibao, watuumiwa hao walilipoti kituo cha kati cha poisi jijini Dar es salaam siku ya ijumaa kwa mahojiano na jeshi la polisi na baada ya maojiano, jeshi la polisi liliendelea kuwashikilia watuumiwa hao kwa mahojiano zaidi.
Kwa sauti iliyorekodiwa imesikika wema akisema kuonewa kwa kudai anauza madawa na kudai kuwa kwa nini Agnes ( masogange) hakamtwi?

No comments:

Post a Comment